Mtahiniwa anatakiwa kuomba uthibitisho wa matokeo ambao utapelekwa kwa mwajiri au katika taasisi anayotaka kwenda kusoma. Lakini pia mtahiniwa anaweza kuomba nakala ya matokeo (Result Slip) yenye uthibitisho. Hii ni nyaraka ya kiofisi inayotolewa NECTA ambayo huonesha daraja alilopata mtahiniwa katika mtihani husika. Uthibitisho wa nakala ya matokeo utakubaliwa na taasisi za elimu na hata sehemu mbalimbali za ajira kama kumbumbukumbu halali ya matokeo ya mtihani.

Mimi mtahiniwa wa kujitegemea kidato cha sita napenda kujua je naweza kutumia vyeti vya vya kidato cha sita vya vikao tofauti kuomba chuo ngazi ya degree?
ReplyDelete