Skip to main content

Posts

Showing posts from December, 2018

Primary School Leaving Examination (PSLE)

Primary School Leaving Examination (PSLE) This is a selection test which enables the government to select form one entrants for its schools. Students who get selected and those who are not, receive certificates. The Examination Calendar PSLE is administered in the second week of September every year. The objectives of PSLE The objectives of PSLE are to assess learner’s skills and knowledge gained in the different subjects at primary school level; to assess learners understanding of the basic skills and abilities in reading, writing and arithmetic and the extent that they can use such skills in solving pertinent problems in life; and identify learners with the capacity to continue with secondary education and other training institutio...

Check All Result Here

    Check All Results Here

Necta Home

Click Here to Visit Necta Home

Sababu gani zinafanya matokeo ya watahiniwa kuzuiwa na misimbo gani inatumika?

* S : Matokeo yamesitishwa hadi uthibitisho wa kasoro zilizoonekana ama katika kuingiza taarifa, kushiriki katika masuala ya uvunjaji wa kanuni au ukiukaji wa maadili katika mitihani. Matokeo yaliyositishwa kutokana na vituo au shule kushindwa kukidhi masharti ya usajili (yaani vituo vyenye watahiniwa chini ya 35).. * E : Matokeo yamezuiwa, mpaka upatikane uthibitisho wa mtahiniwa kulipa ada ya Mitihani. * I : Matokeo HAYAJAKAMILIKA kutokana na mtahiniwa kukosa alama za Upimaji Endelevu (CA) katika masomo yote aliyofanyia mtihani. I : Matokeo hayajakamilika kutokana na kukosekana kwa alama za Upimaji Endelevu (CA) wa mtahiniwa katika somo moja au zaidi alilofanyia mtihani lakini si yote. * W : Matokeo yamezuiwa/yamefutwa au kubatilishwa kutokana na ushahidi wa mtahiniwa kushiriki katika ma...

Je, vyeti vinavyotolewa na NECTA vinatambulika kimataifa?

Ndiyo. Vyeti vya NECTA vinakubalika Afrika na hata nje ya Afrika .

Nini cha kufanya iwapo nitakuwa nimepoteza cheti changu cha kidato cha nne?

Mtahiniwa anatakiwa kuomba uthibitisho wa matokeo ambao utapelekwa kwa mwajiri au katika taasisi anayotaka kwenda kusoma. Lakini pia mtahiniwa anaweza kuomba nakala ya matokeo (Result Slip) yenye uthibitisho. Hii ni nyaraka ya kiofisi inayotolewa NECTA ambayo huonesha daraja alilopata mtahiniwa katika mtihani husika. Uthibitisho wa nakala ya matokeo utakubaliwa na taasisi za elimu na hata sehemu mbalimbali za ajira kama kumbumbukumbu halali ya matokeo ya mtihani.

Kama nina vyeti viwili au zaidi kutoka katika vikao tofauti vya mitihani, je vinaweza kuunganishwa na kuwa cheti kimoja?

Hapana. Kila kikao cha mtihani kina cheti chake . NECTA haiunganishi vyeti vya vikao mbalimbali vya mitihani.

Kuhusu

Kuhusu Kuanzishwa kwa Baraza la Mitihani la Tanzania Orodha ya viongozi wa NECTA tangu kuanzishwa kwake 21-11-1973 Kazi za Baraza la Mitihani la Tanzania Historia ya NECTA kwa ufupi Baada ya Tanzania Bara kujitoa katika Baraza la Mitihani la Afrika Mashariki mwaka 1971 na kabla ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kuanzishwa kwa Sheria mwaka 1973, Kitengo cha Mitaala na Mitihani cha Wizara ya Elimu kilichukua jukumu la mitihani yote. Kutokana na kuanzishwa kwa NECTA, Mitihani ilikuwa jukumu lake kulingana na sheria. Mitaala iliendelea kuwa chini ya Wizara ya Elimu na Chuo Kikuu, Dar es Salaam hadi wakati ilipochukuliwa na Taasisi mpya iliyoanzishwa, inayojitegemea, Taasisi ya Ukuzaji wa Mitaala (ICD) mwaka 1975, ambayo mnamo mwaka 1993 ilibadilishwa jina na kuwa Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE). Kati ya mwaka 1972 na 1976 wafanyakazi wa kwanza wa NECTA waliajiriwa, miongoni mwao alikuwepo ndg. P. P Gandye ambaye aliajiriwa mw...